Sunday, July 1, 2018

BANDA LA TTCL KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA KUMENOGA!

 Katibu Mkuu Wizara ya ViwandaBiashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiweka saini katika kitabu cha wageni alipotembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 30, 2018
 Katibu Mkuu Wizara ya ViwandaBiashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wanahabari baada ya kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam Jumamosi Juni 30, 2018
Wafanyakazi katika wa  TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam 
 Katibu Mkuu Wizara ya ViwandaBiashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea na wanahabari baada ya kutembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bw. Edwin Rutageruka. 
 Katibu Mkuu Wizara ya ViwandaBiashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akipata maelezo jinsi huduma ya mawasiliano ilivyoenea nchi nzima alipotembelea banda la TTCL Corporation katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam 
 Wafanyakazi katika wa  TTCL Corporation mbele ya banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam 
 Wananchi mbalimbali wakitembezwa  katika banda la   TTCL Corporation  katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam 
Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akikaribishwa kutembelea banda la  TTCL Corporation  katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam
  Baadhi ya wafanyakazi  wa  TTCL Corporation wakiwa tayari kutoa huduma kwenye banda lao katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam

 Wananchi mbalimbali wakipata maelezo katika banda la   TTCL Corporation  katika viwanja vya maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama maonesho ya SabaSaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam 

No comments: