WAZIRI
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia Mbunge wa
Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu katika akigawa vyakula
vyenye thamani ya sh.milioni 29.9 kwa kaya 500 za wakazi wa Jiji la
Tanga ambavyo ni Mchele Kg 5,Maharage Kg 5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg
5,Unga wa Ngano Kg 5,Chumvi Kg 1 na Mafuta ya kupikia lita 5 kwa ajili
ya sikukuu ya Eid El Fitri vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la
Uturuki (TIKA) baada ya kuwapa maombi ya mahitaji hayo kwa wakazi hao
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika halfa
iliyofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu akigawa
vyakula vyenye thamani ya sh.milioni 29.9 kwa ajili ya sikukuu ya Eid El
Fitri kwa kaya 500 za Jiji la Tanga ambavyo ni Mchele Kg 5,Maharage Kg
5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg 5,Unga wa Ngano Kg 5,Chumvi Kg 1 na
Mafuta ya kupikia lita 5vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la
Uturuki(TIKA) baada ya kuwapa maombi ya mahitaji hayo kwa
wakazi hao kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika
halfa iliyofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu kushoto
akimkabidhi vyakula mkazi wa Jiji la Tanga vyenye thamani ya sh.milioni
29.9 kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri
kwa kaya 500 za wakazi Jiji la Tanga ambavyo ni Mchele Kg 5,Maharage Kg
5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg 5,Unga wa Ngano Kg 5,Chumvi Kg 1 na
Mafuta ya kupikia lita 5 vilivyotolewa na Shirika la Maendeleo la
Uturuki(TIKA) baada ya kuwapa maombi ya mahitaji hayo kwa wakazi hao
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella katika halfa
iliyofanyika kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga
WAZIRI
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu kulia akiteta
jambo na Mratibu wa Shirika la Tika Hikmet Ozdenoglu kabla ya kuanza
zoezi la ugawaji wa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri
katikati ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu kushoto akiwa na
Mratibu wa Shirika la Maendeleo Uturuki (TIKA) Hikmet Ozdenoglu
wakifuatilia ugawaji wa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri
WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM)Mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu katikati akiwa na
Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakiwa na Mratibu wa
Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) Hikmet Ozdenoglu wakifuatilia
matukio mbalimbali kwenye halfa hiyo ya ugawaji wa vyakula ambavyo ni
Mchele Kg 5,Maharage Kg 5,Sukari Kg 5,Unga wa Ugali kg 5,Unga wa Ngano
Kg 5,Chumvi Kg 1 na Mafuta ya kupikia lita 5
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Tanga akizungumza wakati wa
halfa hiyo
Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga Allan Kingazi katikati akiteta jambo na
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella wakati wa halfa hiyo kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkoba
WAZIRI
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia
akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakati wa
halfa hiyo
Waziri
wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye
pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Mkoa wa Tanga katikati akiteta jambo
na Mratibu wa Shirika la Tika Hikmet Ozdenoglu kabla ya kuanza zoezi
ugawaji wa vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Eid El Fitri kushoto ni Mkuu
wa mkoa wa Tanga Martine Shigella
Sehemu ya wananchi waliojitokeza kupata vyakula hivyo kwa ajili ya sikukuu
Sehemu ya vyakula vilivyotolewa |
Sehemu
ya vyakula vikishushwa kwenye gari tayari kwa ajili ya kugawiwa wakazi
500 wa Jiji la Tanga ambavyo vimetolewa na Shirika la Maendeleo la
Uturuki (TIKA)
No comments:
Post a Comment