Tuesday, June 26, 2018

OFISI YA ROCK CITY MARATHON MWANZA YAZINDULIWA

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo. 
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha akihakiki ubora wa baadhi ya vifaa vilivyopo kwenye ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mbio hizo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini humo.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha (kushoto) akipokea maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa mbio za Rock City Marathon Bw Zenno Ngowi (Kulia) kuhusu nafasi ya mbio hizo katika kutangaza fursa na vivutio vya utalii vilivyopo Kanda ya Ziwa mara baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio hizo zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza.
Mratibu wa mbio za Rock City Marathon kutoka kampuni Capital Plus International (CPI) Naftal Kasara (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha zawadi ya fulana za Rock City Marathon baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio hizo zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza. 
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa mbio hizo mara baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza. Miongoni mwao ni pamoja na Mwenyekiti wa mbio hizo, Zenno Ngowi, (wa pili kushoto). 
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Bi. Merry Tesha (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Riadha Mkoa wa Mwanza (MRAA mara baada ya kuzindua ofisi ya Kanda ya Ziwa ya mbio za Rock City Marathon zilizopo kwenye la jengo la Rock City Mall jijini Mwanza. 

No comments: