Thursday, May 10, 2018

WAZIRI UMMY ATOA TAARIFA KUHUSU UGONJWA WA EBOLA LEO JIJINI DODOMA
 Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akitoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Ebola leo Jijini Dodoma,kulia ni Mkurugenzi wa Tiba dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto Ummy Mwalimu akitoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Ebola leo Jijini Dodoma,kushoto ni Mkurugenzi huduma za Kinga dkt.Leonard Subi

No comments: