Saturday, April 28, 2018

Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake


Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. Kutoka kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi. Happines Gherabaster, Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Dkt. Lewis Ishemoi na Naibu Mkuuwa Chuo cha Kodi A 
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Dkt. Lewis Ishemoi akizungumza wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. 
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi. Happines Gherabaster akifafanua jambo wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inayowakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. 
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi. Natalie Bouely akielezea namna anavyofurahishwa na jinsi Serikali ya Tanzania inavyoshughulikia masuala ya kodi wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. 
Afisa Uhusiano Mkuu wa Chuo cha Kodi (ITA), Bi. Oliver Njunwa akisisitiza jambo wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. 
Mwakilishi kutoka Taasisi ya Global Education Link (GEL), Bi. Happiness Agathon akimkabidhi kwa niaba ya wenzake, mwanafunzi wa mwaka wa TATU WA Chuo cha Kodi (ITA), Bi. Nteghenjwa Kidika zawadi ya ushindi wa pili katika uwasilishaji wa mada wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha  wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea. Wanafunzi hao waliwasilisha mada kuhusu hesabu za kodi na forodha. Kulia ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Kodi (ITASO), Bi. Happines Gherabaster 
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kodi wakifuatilia hutuba ya mgeni rasmi Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja (hayupo pichani) ambaye alimwakilisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Charles Kichere katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea 
Mwakilishi kutoka Benki ya CRDB, Bw. Wilberforce Benda( mwnye Kaunda suti) akiwa katika picha ya pamoja na Kikundi cha wanafunzi walioibuka washindi wa kwanza katika uwasilishaji wa mada wakati wa maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi (ITA) yaliyofanyika chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam. Siku hiyo ya Ujuzi na Taaluma (Career Day) inatwakutanisha wanafunzi na wadau mbalimbali ambapo wanafunzi uonyesha umahiri wao katika fani wanazosomea.Wanafunzi hao waliwasilisha mada kuhusu namna ya kuandaa mipango ya kodi. (Frank Shija – MAELEZO

No comments: