Isabela
Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza
katika mkutano wa kutoa Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi
uliokuwa na lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa
Wanawake katika Shughuli za Uongozi na Siasa uliofanyika kwenye Hoteli
ya New Africa jijini Dar es salaam ikishirikisha wadau mbalimbali kutoka
vyama vya siasa , Asasi za Kiraia, Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume
ya Uchaguzi, Mkutano huo umeandaliwa na Chama cha Wanasheria wanwake
TAWLA
Isabela
Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akionyesha
kitabu chenye malengo ya Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi
uliokuwa lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi na Ushiriki wa
Wanawake katika Shughuli za Uongozi na Siasa katika mkutano huo
uliofanyika kwenye Hoteli ya ya New Africa jijini Dar es salaam.
Isabela
Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akifafanua
katika mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya ya New Africa jijini Dar es
salaam
Sara
Kinyaka Mwanachama wa Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA akichangia
hoja katika mjadala wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya New
Africa jana jijini Dar es salaam
Rose
Julius Afia Mradi wa Women Fund Tanzania akichangia hoja katika mjadala
wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya New Africa jana jijini Dar
es salaam.
Catherine
Vermand Mwanacha na Mwakilishi kutoka Chama cha Chadema akichangia hoja
katika mjadala wa mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya New Africa
jana jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wadau wa mkutano huo wakifuatilia mkutano huo.
Jaquiline
Moshi kushoto Afisa Sheria TAWLA na Debora Nyasibaa Mhasibu TAWLA
wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini
Dar es salaam.
Ofisa Kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
Josephine Arnold Afisa Mradi TAWLA akifafanua baadhi ya hoja wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment