Tuesday, February 20, 2018

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ILEMELA NA NYAMAGANA. MKOANI MWANZA

 Baadhi ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza 
Sehemu ya watumishi wa  Halmashauri ya wilaya ya Ilemela na Nyamagana wakimsikiliza Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyamagana na Ilemela kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyamagana na Ilemela kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Mwanza
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha mabati cha Dragon kilichopo Nyamagana jijini Mwanza Februari  20, 2018.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya matibabu ya bure kwa wazee, Robert Chenge Manyenye kwenye Zahanati ya Bulale wilayani Nyamagana Februari 19, 2018. Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Mary Tesha
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana ni  viongozi wa dini baada ya kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure kwa wazee katika zahanati ya Bulale wilayani Nyamgana Februari 20, 2019.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga (kushoto)  kuhusu mabomba ya maji yanyotengenezwa na kiwanda hicho wakati alipokitembelea jijini Mwanza 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipata maelezo kuhusu utengenezaji wa mabomba ya maji kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza Februari 20, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea mabomba ya maji yenye urefu wa kilomita tano kutoka kwa  Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Mwanza Plastics, Joel Makanyaga wakati alipotembelea kiwanda hicho jijini Mwanza , Februari 20, 2018. Kulia ni Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina mabulla. Mabomba hayo yatatumika kupeleka maji katika Kituo cha Afya cha Karume kilichopo kata ya Bugogwa wilayani Ilemela.

No comments: