Thursday, February 1, 2018

KUMBILAMOTO AKABIDHI KIFAA CHA KUPIMIA PUMU ZAHANATI YA VINGUNGUTI

 Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akizungumza kabla ya kukabidhi kifaa cha kupimia pumu kwa watoto na watu wazima na Vifaa vya Kujifungulia katika Zahanati ya Vingunguti , ambayo Wanawake hufika hapo bila ya kuwa na Vifaa vya kujifungilia, hivyo vitaweza kuwasaidia wale ambao hawatakuwa na uwezo.
 Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, akizungumza kwa Niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kupokea Vifaa hivyo na kuvikabidhi katika Zahanati ya Vingunguti
  Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi kifaa cha kupimia Pumu kwa  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
 Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto akikabidhi Vifaa vya Kujifungulia wajawazito  kwa  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, kwa ajili ya Zahanati ya Vingunguti.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vingunguti, Sharif Mbulu akizungumza na  kushukuru mara baada ya kupokea Vifaa  kwa ajili ya Hospitali ya Vingunguti
Naibu Meya Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti , Omary Kumbilamaoto na  Afisa Habari wa Manispaa ya Ilala, Tabu Shaibu, wakikabidhi Mbuzi  kwa ajili ya  Madkatari na wauguzi wa Zahanati ya Vingunguti.

No comments: