Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi mteule
wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos wakati alipokuwa
akijitambulisha kabla ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa
Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kupokea
Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara
baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Ugiriki hapa nchini Konstantinos Moatsos mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi wa
Mali hapa nchini Fafre Camara mara baada ya kupokea Hati zake
za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Mali hapa nchini Fafre Camara Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa
Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said wakati akijitambulisha kabla
ya kuwasilisha Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri wa
Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga kwa Balozi wa
Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Dina Mufti Said Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Colombia hapa nchini
Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor mara baada ya
mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kitabu
alichopewa na Balozi wa Colombia hapa nchini Elizabeth Taylor
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Argentina hapa nchini Martin
Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Balozi wa Argentina hapa nchini Martin Gomez Bustillo Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini Uriel
Norman Garibay Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagan na Balozi wa
Ufilipino hapa nchini Uriel Norman Garibay Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU.
2 comments:
kwa mahitaji ya greencard,passport size,passport za kusafiria si kweli ila kwa visafoto.com
kwa mahitaji ya green card ,passport size ,passport za kusafiria basi pitia visafoto.com
Post a Comment