Sunday, January 14, 2018

RAIS DKT MAGUFULI AAGANA NA RAIS KAGAME BAADA YA ZIARA YAKE YA SIKU MOJA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018

 Rais Paul Kagame wa Rwanda akiongea na vyombo vya habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na akiongea na vyombo vya habari baada ya mazungumzo yake  rasmi na Rais Paul Kagame wa Rwanda  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake  Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini  leo Januari 14, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake  Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini  leo Januari 14, 2018

Rais Paul Kagame wa Rwanda akiagana na viongozi mbalimbali  baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini  Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018 Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  mgeni wake  Rais Paul Kagame wa Rwanda baada ya ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini  leo Januari 14, 2018.PICHA NA IKULU

No comments: