Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Rais
Dkt Ali Mohamed Shein akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Umoja wa
Vijana UVCCM Bw.Kheri James mara baada ya kushinda katika uchaguzi wa
jumuiya hiyo uliofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Chuo Cha
Mipango mjini Dodoma wa pili kutoka kulia anayeangalia ni Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Bi.
Tabia Mwita.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Rais
Dkt Ali Mohamed Shein akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Bi. Tabia
Mwita baada ya ushindi wake katikati anayeshuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
mpya wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Bw. Kheri Denis James akiwa
amebebwa na baadhi ya Wajumbe mara baada ya kutajwa kuwa ndiye
Mwenyekiti mpya wa jumuiya hiyo kwa miaka mitano
Baadhi
ya wajumbe wa Halmashauri Kuu na Mkutano mkuu wa UVCCM wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya kutangazwa washindi katika mkutano huo.
Mara
baada ya kutangazwa tu kuwa ndiye Mwenyekiti Mpya wa Jumuiya ya umoja
wa Vijana (UVCCM),Kher Denis James,kwa furaha kubwa iliyokwenda mpaka
kwa Wajumbe wenzake,ilibidi zitumike nguvu za ziada kupunguza vurugu za
shangwe zilizotarajiwa kutokea ukumbini hapo,kama uonavyo Mwenyekiti
akiwa katika mikono salama ya utuliu akielekezwa kwenda jukwaa kuu.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM aliyemaliza muda wake Mh. Mboni Mhita akimpongeza Makamu Mwenyekiti mpya Bi. Tabia Mwita.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Kassim Majaliwa pichani
kushoto akitazama tukio la pongezi kutoka Makamu Mwenyekiti wa UVCCM
aliyemaliza muda wake Mh. Mboni Mhita akimpongeza Mwenyekiti mpya wa
Jumuiya ya Umoja wa Vijana UVCCM Bw. Kheri James.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt Ali
Mohamed Shein akuhutubia wakati akifunga mkutano huo leo kwenye ukumbi
wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi
wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017 (katikati) ni Katibu
wa CCM, Abdulrahman Kinana
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Mh. William Lukuvi ambaye pia ni Msimamizi wa
Uchaguzi huo akitangaza matokeo ya uchaguzi huo katika uchaguzi wa UVCCM
uliofanyika kwenye Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Taifa (Zanzibar),Rais wa Zanzibara Dkt Shein akiwa
ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa wakiwasili ukumbini
Wajumbe
wa Mkutano Mkuu wa tisa wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM),wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma
leo,ambapo Jumuiya hiyo leo imefanya chaguzi zake za viongozi
mbalimbali.
Baadhi
ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tisa wa Umoja wa Vijana CCM
(UVCCM),wakishangilia ukumbini mara baada ya kuwapata viongozi wao
katika mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini
Dodoma leo,ambapo Jumuiya hiyo imefanya chaguzi zake za viongozi
mbalimbali.
MATOKEO UCHAGUZI UVCCM TAIFA 2017
1. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Tanzania 2017-2022 ni Ndugu Kheri Denice James.
2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
Kura halali 565
Thabia Mwita 286 (Mshindi)
Rashid Mohamed Rashid 282
#MatokeoUchaguziUVCCM
3. Wajumbe wa NEC kutoka Tanzania Bara..
Sophia Kizigo
Musa Mwakitinya
Keisha
#MatokeoUchaguziUVCCM
4. Wajumbe 2 kwenda Halmashauri Kuu ya Taifa kutoka Zanzibar..
Abdallaghari Idrisa Juma
Maryam Mohamed Khamis
#MatokeoUchaguziUVCCM
5. Wawakilishi kutoka Tanzania Bara kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa nafasi 3..
Rose Manumba
John Katarahiya
Secky Katuga
#MatokeoUchaguziUVCCM
6. Wawakilishi kutoka Zanzibar kwenda Baraza kuu UVCCM Taifa
Nasra haji
Abdallah Rajabu
#MatokeoUchaguziUVCCM
7. Mshindi nafasi ya Uwakilishi kutoka Vijana kwenda Jumuiya ya Wazazi ni AMIR MKALIPA
#MatokeoUchaguziUVCCM
8. Mshindi nafasi ya Uwakilishi Vijana kwenda UWT ni DOTO NYIRENDA
No comments:
Post a Comment