Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Kigwangalla “Sasa tutakamata majangili kuliko kukamata nyara” Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla ameweka wazi kuwa moja ya mikakati ya Wizara yake hiyo ni kuhakikisha wanachukua hatua za haraka katika kulinda rasilimali za Taifa kwa kutumia mbinu za kisasa zaidi za intelijensia kudhibiti ujangili nchini.
Dkt.
Kigwangalla amesema hayoi mapema leo mjini Dodoma wakati wa akielezea
namna walivyojipanga kukamata majangili kabla hawajhafanya ujangili.
“Tumekusudia kukamata majangili kabla hawajafanya ujangili kuliko
kukamata nyara. Tutaisambaratisha na kuifumua kabisa mitandao ya
biashara haramu ya ujangili nchini.
Ameeleza
Dkt.Kigwangalla Aidha, ameendelea kutuma salamu kwa majingili wote
kuachana na baishara hiyo kwa kujisalimisha ama kukimbia kwani kwa sasa
wanaendelea na uchunguzi wa mtandao mpana wa majingili. “Jana
tumefanikiwa kumkamata Ndg. Masalu Wella Nangale wa kijiji cha
Mwasengela, Meatu, akijipanga kuelekea Moru, ndani ya hifadhi ya
Serengeti kwa malengo ya kuua Faru.
Amekutwa
na risasi 356, magazines 2, msumeno mdogo na mafuta ya kusafishia
silaha. Wizara yangu imejipanga na tutaendelea kutumia mbinu za kisasa
zaidi za intelijensia kudhibiti ujangili huu” alimalizia
Dkt.Kigwangalla. Dkt.Kigwangalla amebainisha kuwa, tayari vikosi maalum
kwa kushirikiana na Wizara yake wakiwemo wale wa Wanyama pori
wanaendelea na uchunguzi wa ndani hasa katika mitandao ya Majangili
wakubwa wa ndani na nje ya Nchi.
Mwisho.
CODES: Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamisi Kigwangalla ameweka
wazi kuwa moja ya mikakati ya Wizara yake hiyo ni kuhakikisha wanachukua
hatua za haraka katika kulinda rasilimali za Taifa kwa kutumia mbinu za
kisasa zaidi za intelijensia kudhibiti ujangili nchini. Dkt.
Kigwangalla amesema hayoi mapema leo mjini Dodoma wakati wa akielezea
namna walivyojipanga kukamata majangili kabla hawajhafanya ujangili.
“Tumekusudia
kukamata majangili kabla hawajafanya ujangili kuliko kukamata nyara.
Tutaisambaratisha na kuifumua kabisa mitandao ya biashara haramu ya
ujangili nchini. Ameeleza Dkt.Kigwangalla Aidha, ameendelea kutuma
salamu kwa majingili wote kuachana na baishara hiyo kwa kujisalimisha
ama kukimbia kwani kwa sasa wanaendelea na uchunguzi wa mtandao mpana wa
majingili.
“Jana
tumefanikiwa kumkamata Ndg. Masalu Wella Nangale wa kijiji cha
Mwasengela, Meatu, akijipanga kuelekea Moru, ndani ya hifadhi ya
Serengeti kwa malengo ya kuua Faru. Amekutwa na risasi 356, magazines 2,
msumeno mdogo na mafuta ya kusafishia silaha. Wizara yangu imejipanga
na tutaendelea kutumia mbinu za kisasa zaidi za intelijensia kudhibiti
ujangili huu” alimalizia Dkt.Kigwangalla.
Dkt.Kigwangalla
amebainisha kuwa, tayari vikosi maalum kwa kushirikiana na Wizara yake
wakiwemo wale wa Wanyama pori wanaendelea na uchunguzi wa ndani hasa
katika mitandao ya Majangili wakubwa wa ndani na nje ya Nchi.
Ndg. Masalu Wella Nangale wa kijiji cha Mwasengela, Meatu aliyekamatwa akijipanga kuingia Hifadhi ya Serengeti
Baadhi ya risasi zilizokamatwa na jangili huyo
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Kigwangalla akiwa pamoja na Mhifadhi wa Mkuu wa Serengeti William Mwakilema pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro wakiangalia mpaka unahishia pori tengefu la Loliondo-Ngorongoro na Hifadhi ya Serengeti mwishoni mwa wiki wakati wa kukagua maeneo hayo yenye mgogoro na wafugaji.

No comments:
Post a Comment