Friday, October 27, 2017

Waziri Mwakyembe na Naibu Waziri Shonza washiriki Jukwaa la Sanaa

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wadau wa tasnia ya muziki (hawapo pichani) wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akifafanua jambo wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bibi. Shani Kitogo akijibu hoja wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wakifuatilia mada zilizokua zikiendelea wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akicheza ngoma na wasanii waliokua wakitumbuiza wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Shirikisho la Sanaa za Ufundi Bibi. Francisca Shirima akichangia mada wakati wa Jukwaa la Sanaa lililofanyika leo katika Uwanja wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi wa mashirikisho mbalimbali ya sanaa baada ya kumalizika kwa jukwaa la sanaa leo katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto waliokaa ni Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

No comments: