Afisa Mdhibiti wa Viwango na
Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoani Tanga,Dkt Lwi Kupaza
akiangalia taarifa za moja ya wakazi wa Jiji la Tanga ambao walijitokeza
kupima uzito,sukari na presha wakati wa bonanza la michezo ambalo
limefanyika leo kwenye viwanja vya shule ya sekondari Popatlaly kushoto
ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu
Daktari wa NHIF kushoto akimpima
presha Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu wakati wa bonanza la michezo
Afisa Mdhibiti Viwango na Ubora Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Dkt Lawi Kupaza akichukua maelezo ya Ofisa wa Polisi kutoka Ofisi ya RCO,Saidi Mwagara wakati wa bonanza hilo |
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga
(RPC) Benedict Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta
kamba Bandari Tanga wakati wa Bonanza hilo leo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Tanga (RPC) Benedict
Wakulyamba akiwaongoza askari wa Jeshi hilo kuwavuta kamba Bandari Tanga
wakati wa Bonanza hilo leo
Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Tanga (RPC) Benedict
Wakulyamba kulia akifurahia jambo wakati wa bonanza hilo
Ofisa Uhamiaji wa Mkoa wa
Tanga,Crispin ngonyani
akiwaongoza idara hiyo kuvuta kamba kwenye bonanza
hilo.
wa Pili kutoka kushoto ni
Afisa wa NHIF Mkoa wa Tanga akiteta jambo na wanamichezo walioshiriki
bonanza hilo leo.
Afisa Madai wa NHIF
mkoani Tanga,Marry Daniel kulia akiendelea kuwahamaisha wanamichezo
namna ya kuweza kujiunga na mfuko huo
Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoani
Tanga,Sadick Nombo kushoto akibalishana mawazo na Afisa Utumishi Mkoa wa
Tanga,Jakobo Kingazi wakati wa bonanza hilo
Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi akisalimiana na moja kati ya timu
zilizokuwa zinashiriki bonanza hilo ambapo alisema michezo ina imarisha
mahusiano mazuri kazini na ni muhimu kuimarisha miili yao na kuongeza
ufanisi
Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga(Ras) Mhandisi Zena Saidi katika akiwa kwenye picha ya
pamoja .Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment