Friday, October 27, 2017

MELI YA UTAFITI WA MAFUTA NA GESI YAZINDULIWA ZANZIBAR

Meli ya BGP EXPLORER kutoka China itayoshughulika na Utafiti wa Mafuta na Gesi ambayo imezinduliwa na Makamo wa Rais wa Zanzibar Bolozi Seif Ali Idi ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Zanzibar.
Baadhi ya waheshimiwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China katika Visiwa vya Zanzibar wakisikiliza Hotuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi hayupo pichani uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Ali Khalil Mirza akitoa maelezo mafupi ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama akizungumza machache kuhusiana na Utafiti wa Mafuta na Gesi katika Visiwa vya Zanzibar katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Muakilishi wa Kampuni ya BGP EXPLORER Gou Yunhui akizungumza machache katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.kulia ni Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa kartika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

No comments: