Blogger wa Jamvi la Habari ambaye pia ni mhadhiri wa chuo kikuu cha SAUT Songea Willy Migodela tarehe 07/10/2017 alifunga ndoa na Lightness Ngenzi katika kanisa la KKKT usharika wa Mbarali mkoani Mbeya.
| Pichani Bwana Harusi Willy Migodela na Bibi Harusi Lightness Ngenzi |
| Pichani Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa na wasimamizi wao Mr & Mrs Pambano Myula |
| Pichani Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao. |
| Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika tabasamu la kufurahia ndoa yao |
No comments:
Post a Comment