Mkuu
wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange, akimkabidhi Kombe Nahodha wa
timu ya Ndanto Fc, Peter Mwakingwa, baada ya kushika nafasi ya nafasi ya
kwanza na kutwaa kombe la fainali za 'Tulia Cup 2017' kwenye uwanja wa
Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya. Picha na Muhidin Sufiani
(MAFOTO MEDIA GROUP)
Mkuu
wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange, akimkabidhi Kombe Nahodha wa
timu ya Isange, Frank Asilih, baada ya kushika nafasi ya pili katika
fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe
mkoa wa Mbeya.
Beki
wa timu ya Isange Fc, Zawadi Andombwisye (kushoto) akichuana kuwania
mpira na mshambuliaji wa Ndanto Fc, Erick Mwangoye, wakati wa mchezo wa
Fainali za 'Tulia Cup' uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa
Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto
walishinda kwa mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na
kitita cha sh. milioni 1.5.
Beki
wa timu ya Ndanto Fc,Fidelis Yeo (kulia) akiwania mpira na mshambuliaji
wa Isange Fc, Hussein Thom, wakati wa mchezo wa Fainali za 'Tulia Cup'
uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani
Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda kwa mabao 2-1
na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh. milioni 1.5.
Wachezaji wa Isange Fc, Shadrack Kandrum (kushoto) na Hussein Thom
(kulia) wakimdhibiti Mandela Chaile, wakati wa mchezo wa Fainali za
'Tulia Cup' uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale
Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda
kwa mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh.
milioni 1.5.
Beki
wa timu ya Isange Fc, Shadrack Kandrum (kulia) akimdhibiti mshambuliaji
wa Ndanto Fc, Julius Mtawala, wakati wa mchezo wa Fainali za 'Tulia
Cup' uliochezwa jana Sept 21, 2017 kwenye Uwanja wa Tandale Tukuyu
Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Katika mchezo huo Ndanto walishinda kwa
mabao 2-1 na kutwaa kombe hilo kwa mwaka huu 2017 na kitita cha sh.
milioni 1.5.
Luteni
General, James Mwakibolwa, akiongozana na Mkurugenzi wa Taasisi ya
Tulia Trust na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Tulia
Ackson, kukagua timu ya Ndanto fc kabla ya mchezo wa fainali dhidi ya
Isande Fc, katika mchezo wa fainali wa 'Tulia Cup' kwenye uwanja wa
Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya.
Luteni
General, James Mwakibolwa, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya
Netiboli ya Kimo,Salome Sanyondo, baada ya kushika nafasi ya pili katika
fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani Rungwe
mkoa wa Mbeya.
Luteni
General, James Mwakibolwa, akimkabidhi Kombe Nahodha wa timu ya
Netiboli ya Wizara ya Mambo ya Ndani, baada ya kushika nafasi ya kwanza
katika fainali za 'Tulia Cup'kwenye uwanja wa Tandale Tukuyu Wilayani
Rungwe mkoa wa Mbeya.
No comments:
Post a Comment