Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akisalimiana Viongozi mbali mbali wakati alipowasili
katika viwanja vya Skuli ya msingi Kihinani Jimbo la Mfenesini kuweka
jiwe la msingi Jengo jipya la Skuli hiyo leo akiwa katika ziara yake
katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akifungua pazia kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi Jengo
jipya la Skuli ya msingi Kihinani leo akiwa katika ziara yake katika
Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Baadhi
ya wananchi na Wazee wa Wanafunzi wa Skuli ya msingi Kihinani jimbo la
Mfenesini wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Jengo jipya la Skuli hiyo
leo iliyowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani )akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kihinani walipokuwa wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani ) alipokuwa akizungumza na Wanafunzi hao pamoja na Wazee
wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli hiyo
leo,akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea
Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi,Wazee na Wanafunzi
wakati wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya
msingi Kihinani jimbo la Mfenesini leo,akiwa katika ziara yake katika
Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe
Juma na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed
Mahmoud
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi,Wazee na Wanafunzi wakati
wa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya msingi Kihinani
jimbo la Mfenesini leo,akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya
Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipofika kutembelea Ofisi ya Walimu mara baada ya kuweka
Jiwe la Msingi Jengo jipya katika Skuli ya msingi Kihinani jimbo la
Mfenesini leo,akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A”
kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na
mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma na (kushoto) Mwalimu Mkuu wa
Skuli hiyo Bi.Mafunda Juma Khamis,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya
Magharibi “A” Nd,Mwinyiussi (katikati) wakati alipofika kutembelea Mradi
wa Visima vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo
alipofanya ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi
mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na
Mazingira Mhe.Salama Aboud Talib,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipofuatana na Viongozi mbali mbali wakati alipofika
kutembelea Mradi wa Visima vya Maji Safi na salama katika Shehia ya
Bumbwisudi leo alipofanya ziara yake katika Wilaya ya Magharibi”A”
kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,
Waziri
wa Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira Mhe.Salama Aboud Talib alipokuwa
akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Mradi wa Visima
vya Maji Safi na salama katika Shehia ya Bumbwisudi leo alipofanya ziara
yake katika Wilaya ya Magharibi”A” kutembelea Miradi mbali mbali ya
Maendeleo.Picha na Ikulu.20/08/2017
No comments:
Post a Comment