Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Qatar hapa
nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsalimia msaidizi wa Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
MAZUNGUMZO YAKIENDELEA
🔻
ZAWADI YA NGAO
🔻
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikabidhiwa zawadi ya ngao na Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimshukuru Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, wakati akipokea zawadi hiyo
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini
kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Ofisa
wa Itifaki katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Makao Makuu
ya CCM, Frank Uhahula
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza hadi nje, Balozi wa Qatar
hapa nchini Abdulla Jassim Al-Maadad, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Qatar

Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO. PICHA ZAIDI/>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment