Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew J. Mtigumwe
anawaarifu kuwa Mheshimiwa Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mhandisi Dkt. Charles J. Tizeba (Mb), kwa mamlaka aliyopewa chini ya sheria mbalimbali
za Mazao amefanya uteuzi wa wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi za Bodi za Mazao kama
ifuatavyo:
A: Bodi ya
Kahawa Tanzania:
Kwa mujibu wa kifungu cha 1(1)-(4) cha Sheria ya Kahawa
ya Mwaka 2001 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mazao
Na.20/2009 Mhe. Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, amewateua wafuatao kuwa
wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Kahawa Tanzania:
1.
Bibi Fatima Aziz Faraji
2.
Bw. Twahir S. Nzallawahe
3.
Bw. Titus Thobias Stanslaus Itigereize
4.
Prof. Faustine Karrani Bee
5.
Bw. Boaz A. Mwalusamba
6.
Bibi
Elizabeth Siwa Bwire
7.
Bw. Robert Seleman Mayongela
8.
Bw. Daudi Felician Magayane
9.
Bw. Amiri Hamza
B: Shirika
la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)
Kwa mujibu
wa kifungu cha 1(1) cha Sheria
ya Shirika la Ukaguzi na
Usimamizi wa Vyama vya Ushirika ya Mwaka 1982 kama ilivyofanyiwa
Marekebisho na Sheria Na.9
ya mwaka 2005, 2009 Mhe. Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, amewateua
wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Shirika la Ukaguzi na
Usimamizi wa Vyama vya Ushirika Tanzania:
1.
Dkt. Tito B. Haule
2.
Bibi Mary Maganga
3.
Prof. Faustine Karrani Bee
4.
Bw. Aziz J. Dachi
5.
Bibi Mechtilda Yahaya Zimbwe
C: Bodi ya
Mkonge Tanzania
Kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 1(i) cha
Jedwali katika Sheria ya Mkonge ya mwaka 1996 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya
Marekebisho ya Sheria za Mazao Na.20/2009, Mhe. Waziri wa Kilimo Mifugo na
Uvuvi amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mkonge
Tanzania:
1.
Eng. Mark W. Njiu
2.
Bw. Abdallah Ngereza
3.
Bw. Deogratias Ruhinda
4.
Bw. Freddie Robert Semwaiko
5.
Bibi Laddy Aminiel Swai
6.
Bw. Revelian Ngaiza
7.
Bibi Nyambilila Amuri
8.
Bi. Betty Eliezer Machangu
D: Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko
Kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 5(1) cha Sheria
ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Na.19 ya Mwaka 2009, Mhe. Waziri wa
Kilimo Mifugo na Uvuvi amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi
ya Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania:
1.
Bw. Celestine Bugami Bulima
2.
Bw. Sylivanus M. Chacha
3.
Bibi Getrude J Haule
4.
Bw. David Issaya Dyoya
5.
Bw. Shabila Patrick Mussa
6.
Bw. Enock Seif Ananidze
7.
Bw. Deogratias Bugomola Kumalija
8.
Bibi Zakia Stephano Lwamala
9.
Bw. Ali Gugu
10. Bw. Mukara M. Mugini
11. Bw. Fredricks Simon Towo
12. Bibi Monica Ngezi Mbega
E: Tume ya Maendeleo ya Ushirika
Kwa
mamlaka aliyopewa Chini ya Kifungu
cha 7(1) Sheria ya Vyama vya Ushirika
Na. 6 ya Mwaka 2013, Mhe. Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Tume ya
Maendeleo ya Ushirika.
1. Bw. Lucas Dudumila Mataba
2. Bw. Robert Busumabu
3. Bw. Mudhihir Mudhihir
4. Bw. Abdul Jabir Malombwa
5. Bibi Salome Tondi
6. Bw. Edward Maura
7. Bw. Mibavu Gungu Mohamed
8. Bw. Athuman L. Mahadhi
9. Bibi Elizabeth C. Makwabe
10. Dkt. Lucy Ssendi
Uteuzi huo wa wajumbe wa Bodi zote ni wa miaka
mitatu (3) na unaanzia tarehe 10 Agosti,
2017. Wajumbe hao wa Bodi wanapaswa kukutana mapema. Maelekezo husika
yatatolewa kupitia Menejimenti za taasisi husika.
Katibu Mkuu na Menejimenti ya Wizara ya Kilimo
Mifugo na Uvuvi inawapongeza wajumbe wote kwa uteuzi huu. Ni matumaini ya
Serikali kuwa, wajumbe watashirikiana kwa dhati na Serikali na Wadau kwa ujumla
katika kusaidia kuleta maendeleo ya
Sekta ya Kilimo.
No comments:
Post a Comment