Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL) Abdulmalik Mollel akibadilishana hati ya makubaliano na Afisa Udahili wa Chuo cha Sri Venkteswara cha nchini India , Bheems Neyulu hafla hiyo iliyofanyika katika ofisi za viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam..
Mkurugenzi wa Global Education Link (GEL) Abdulmalik Mollel akionyesha mfumo wa udahili wa Vyuo Vikuu vya Nje wa Kielektroniki kwa wananchi waliokuwa wakipata huduma katika ofisi hiyo, katika maonesho ya 41 biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba.
Maafisa wa Global Education Link wakiendelea kutoa huduma katika maonesho ya 41 biashara ya Kimataifa katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment