Daktari
Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Aika Nnkya akimpa ushauri kuhusu afya ya moyo Kizito Joseph (kushoto) ambaye
alitembelea banda la Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan
Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo bure, kupata ushauri na kuona huduma
mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa.
Mama
Anastazia Mombeki (kulia) akipimwa urefu na Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Rogers Kibula wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo lililopo
ndani ya Hema la Ali Hassan
Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali
za matibabu ya moyo wanazozitoa.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Upendo
Mwaipopo akimpima mapigo ya moyo (BP) Lei Jian ambaye alifika katika banda la
Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa ya Moyo bure, kupata
ushauri na kuona huduma mbalimbali
wanazozitoa.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Aika Nnkya
akimpima mapigo ya moyo (BP) Elioth Mgulwa mkazi wa Makambako mkoani
Njombe ambaye alitembelea banda la
Taasisi hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya
Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima
magonjwa ya Moyo bure, kupata ushauri na
kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo wanazozitoa.
Daktari
Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Pedro Pallangyo akimpima mapigo ya moyo
(BP) Mmiliki wa Blog ya Full Shangwe Bw. John Bukuku alitembelea banda la Taasisi
hiyo lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho
ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya kupima magonjwa
ya Moyo bure, kupata ushauri na kuona huduma mbalimbali za matibabu ya moyo
wanazozitoa.
Banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) lililopo ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndani ya banda hilo huduma zinazotolewa ni kupima magonjwa ya Moyo bure, kutoa ushauri na kueleza wananchi huduma mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Banda la Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) lililopo
ndani ya Hema la Ali Hassan Mwinyi katika viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ndani ya
banda hilo huduma zinazotolewa
ni kupima magonjwa ya Moyo bure, kutoa
ushauri na kueleza wananchi huduma
mbalimbali za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo. Picha na JKCI
No comments:
Post a Comment