Tuesday, July 4, 2017

CLOUD AWASILI KUTOKEA SWIDEN APOKEWA KWA SHANGWE NA KUTAMBULISHA FILAMU YAKE MPYA INAITWA 'USIJISAHAU'

--
 Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud'Akipokewa na Rais wa Shirikisho la Filamu nchini ,Simon Mwakifamba, akitokea nchini Swideni ambako anaishi kwa sasa Cloud amekuja nchini kwa ajili ya uzinduzi wa filamu yake ambayo ameifanya huko huko Swiden na kampuni moja inayokwenda kwa jina la Fila(4)
 Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akisalimina na mmjoa wa viongozi wa timu ya Bongo Muvi Chick Mchoma mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Swideni
 Sehemu ya Mashabiki wa  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' wakiwa na mabango katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Waandishi wa Habari  mara baada ya kuwasili nchini akitokea Swiden
  Mke wa Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Vyombo vya habari

  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwa na raifiki yake wa karibu na Msanii wa filamu hpa nchini ,Jacob Stephene  alipofika kumlaki katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nrerere jijini Dar es Salaam
  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwa amekumbatiana na Mtoto wake wa Kwanza mara baada ya kuwasili nchini
  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akivehswa taji la maua na Mtoto wake wa Kwanza mara baada ya kuwasili nchini
 Wasasani wa kikundi cha Safi wakitoa Burudani mara baada ya msanii  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' kuwasili katika ukumbi wa Lamada 
 Wasasani wa kikundi cha Safi wakitoa Burudani mara baada ya msanii  Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' kuwasili katika ukumbi wa Lamada
 Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud'akizungumza na waandishi wa habari na wadau wa filamu katika ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam na kutambulisha filamu yake
 Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akiwasiliana na Naibu Meya wa wa Manispaa ya Ilala ,Omary Kumbilamoto 
Mke wa Msanii wa Filamu Nchini Issa Mussa 'Cloud' akizungumza na Waandishi wa Habari
 wasanii mbalimbali wa filamu waliofika katika mkutano wake
Rais wa TAFF Simon Mwakifamba akizunguma wakati wa mkutano huo

No comments: