Wednesday, June 7, 2017

MDAU EMMANUELA KAGANDA ALA NONDOZZZZ YA MASTERS YA AFYA YA UMMA. A.K.A PUBLIC HEALTH)

Ms. Emmanuela Kaganda was successfully awarded Masters of Public Health from the City University of New York - Graduate school of Public Health. The ceremony took place at the Apollo  Theater in Harlem 125th West, New York City. 
Emmanuela Mtatifikolo Kaganda during  the  graduation ceremony.


Mdau Emmanuela  Kaganda akifurahia  pamoja na Mhe. Balozi Modest J. Mero Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mke wake kulia. 
Emmanuela Kaganda akiwa na marafiki zake kwenye sherehe hiyo.

Tabasamu mubashara la ushindi baada ya kula nondozzzzz    kwa taswira zaidi jitiririshe hapa chini kiroho safi.
Emmanuela Kaganda akiwa kwenye viti vyekundu ndani ya ukumbi maarufu sana New York City na Marekani Apollo Theater, hapa ndipo sherehe zilifanyika. 

Emmanuela Kaganda akipata akiwa  kwenye kisiki chenye miujiza ndani ya ukumbi wa Apollo.  Kisiki hiki kina sifa ya kukupatia bahati kwenye maisha yako pale unapokigusa ukiwa na maombi ya kutaka kufanikiwa kwa imani ya unachokifanya au kukitarajia katika ndoto zako.

Mdau Emmanuela  Kaganda akifurahia  pamoja na Mhe. Balozi Modest J. Mero Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa na Mke wake kulia. 

No comments: