Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akizungumza na Walimu wa Msingi Ushokora inayomilikiwa
na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani
Tabora, leo. Pamoja na mambo mengine, Bulembo alitaka kujua kwa nini
walimu kwenye shule hiyo kongwe wanafanyia kazi yao chini ya miti kama
alivyowakuta. Wapili kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyoAsher Msemwa na
Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Abeid Busalama ambaye Bulembo alimpa jukumu
la kufuatilia tatizo hilo la walimu kufanyika azi chini ya miti.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akipanda mti wa kumbukumbu katika Shule ya Msingi
Ushokora mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora,
leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Ushokora
mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akimpa chemshabongo Jacqueline Philber alipotembelea
Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa
ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akiwapa maswali ya chemshabongo wanafunzi,
alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo,
mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akimpa swali la chemshabongo Mwanafunzi wa darasa la
tano, Ibrahimu Kapewa, alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora
inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya
Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akimpa zawadi ya sh elfu kumi Mwanafunzi wa darasa la
tano, Ibrahimu Kapewa, baada ya kufanikiwa kujibu vema swali la
chemshabongo alilompa, alipotembelea Shule ya Msingi Ushokora
inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya
Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka kwenye
Shule ya Msingi Ushokora inayomilikiwa na Jumuia hiyo, mwanzoni mwa
ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo. Kushoto ni Mkuu
wa Wilaya ya Kaliua Abel Bisalama na Kulia i Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,
Aser Msemwa.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika
Ofisi ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya
hiyo mkoani Tabora, leo. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya hiyo
Elias Kaseko na kulia ni Katibu wa CCM wa wilaya hiyo Shabani Mrisho
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya
Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, mwanzoni
mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya
Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali, mwanzoni
mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, leo
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM na wa Serikali wakiwa kwenye kikao hicho,
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhajj
Abdallah Bulembo akihitimisha mazungumzo yake na Wajumbe wa
Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Kaliua, Mabalozi, watendaji wa CCM
na wa Serikali, mwanzoni mwa ziara yake katika Wilaya ya Kaliua mkoani
Tabora, leo, Wilaya hiyo ya Kaliua ndiyo imehitimisha ziara yake katika
mkoa wa Tabora. PICHA; BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment