Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe, akitoa
ufafanuzi mbele ya Wahariri wa vyombo vya habari,kuhusiana na namna
mfuko huo unavyoweza kuhudumia wateja wake,katika semina iliyofanyika
leo mapema leo jijini Dar.Pichani kati ni
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Theophil Makunga pamoja na Katibu wa Jukwaa hilo Neville Meena.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Theophil Makunga pamoja na Katibu wa Jukwaa hilo Neville Meena.
Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena, akizungumza katika semina hiyo.
Baadhi ya wahariri wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo .
Baadhi ya wahariri wakiwa katika semina hiyo.
Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akitoa mada katika semina hiyo.
Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo.
Baadhi ya wahariri wakifuatilia kwa makini semina hiyo.
Semina ikiendelea.
Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo.
Ofisa Mwandamizi Mipango na Uwekezaji, Eliya Shola, akitoa mada katika semina hiyo.
Abdalah Majura akiuliza swali.
Ofisa
Habari wa Mfuko wa LAPF, Rehema Mkamba (kusho), akiwa na baadhi ya
wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa semian hiyo.
Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe,
akijibu maswali ya washiriki wa semina hiyo. Kushoto ni Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri, Theophil Makunga.
Meneja Mafao wa LAPF, Ramadhan Mkeyenge, akijibu baadhi ya maswali.
Mhariri
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda,
akiuliza kuhusu namna Mfuko wa LAPF ulivyochukua taadhari katika
uanzishwaji wa viwanda.
No comments:
Post a Comment