Mkurugenzi wa biashara wa Vodacom
Tanzania,Hisham Hendi,akiongea wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za washindi
mbalimbali wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Iliyoandaliwa na kampuni hiyo
ikiwa ndiyo wadhamini wakuu wa ligi na
kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani city jijini Dar es Salaam
jana.
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe(katikati) Mkurugenzi mkuu wa biashara wa Vodacom Tanzania,Hisham
Hendi(kushoto)wakimkabidhi tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara 2016/2017 baba mzazi wa
mchezaji wa simba,Mohamed Hussein”Tshabalala” baada ya mtoto wake kuchukua tuzo
hiyo hapo jana wakati wa halfa ya utoaji tuzo mbalimbali za ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara iliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa ligi na kufanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Mlimani city jijini dar es Salaam.
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe(katikati)akimshuhudia Mkurugenzi mkuu wa biashara wa Vodacom
Tanzania,Hisham Hendi(kushoto)akimpongeza baba mzazi wa mchezaji wa
simba,Mohamed Hussein”Tshabalala” baada ya mtoto wake kuibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom
Tanzania bara 2016/2017 wakati wa halfa ya
utoaji tuzo mbalimbali za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyoandaliwa na
wadhamini wakuu wa ligi na kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani city
jijini dar es Salaam.
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe(kushoto)akikaribishwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella
alipowasili kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za washindi wa Ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara,Iliyoandaliwa na wadhamni hao na kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani
city jijini Dar es Salaam
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe akimsikiliza jambo
kwa makini Mkurugenzi wa biashara wa Vodacom Tanzania,Hisham
Hendi(katikati)wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo za washindi wa Ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara,Iliyoandaliwa na kampuni hiyo ikiwa ndiyo wadhamini wakuu
wa ligi na kufanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Mlimani city jijini Dar es Salaam jana,kulia ni Mkuu wa kitengo cha
Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe, akiongea na wadau mbalimbali waliohudhuria hafla ya utoaji
wa tuzo mbalimbali za washindi wa Ligi
kuu ya Vodacom Tanzania bara,Iliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa ligi Vodacom
Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa
mikutano wa Mlimani city jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Michezo Utamaduni na sanaa Dkt,
Harrison Mwakyembe,akipewa hongera na Mkurugenzi wa biashara wa Vodacom
Tanzania,Hisham Hendi baada ya kuongea na wadau walioshiriki katika hafla ya
utoaji tuzo mbalimbali za washindi wa
Ligi kuu bara,Iliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa ligi Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Mlimani city jijini Dar es Salaam,katikati ni Mkuu wa kitengo cha Masoko na
Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella,akimkabidhi hundi yenye thamani ya
shilingi Milioni 84/- Katibu mkuu wa Yanga,Boniface Mkwasa baada ya timu yao
kuibika mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara 2016/2017 wakati wa halfa
ya utoaji tuzo mbalimbali jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania PLC,Nandi Mwiyombella,akimkabidhi hundi yenye thamani ya
shilingi Milioni 84/- Katibu mkuu wa Yanga,Boniface Mkwasa baada ya timu yao
kuibika mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara 2016/2017 wakati wa halfa
ya utoaji tuzo mbalimbali jana katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom
Tanzania,Ashutosh Tiwary(kushoto) akimkabidhi tuzo ya heshima,Kitwana Manara
wakati wa halfa ya utoaji tuzo mbalimbali za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara
iliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa ligi na kufanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Mlimani city jijini dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment