Tuesday, May 9, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi Matingwa wilayani Chunya mkoani Mbeya Daudi Kaila amefariki dunia baada ya kupewa adhabu na mwalimu wake; https://youtu.be/82kSbyYSmLo

SIMU.TV: Serikali ya Tanzania imesema ina mpango wa kuanzisha mkoa mpya wa kipolisi wilayani Mkuranga ili kusogeza huduma za ulinzi na usalama katika eneo hilo; https://youtu.be/lCdfMgVdgzc

SIMU.TV: Kaya zaidi ya 200 zimekosa makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa na maji mkoani Tanga kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha; https://youtu.be/M7iNzqclrTQ

SIMU.TV: Shirika la umeme nchini Tanzania Tanesco hatimaye limerudisha huduma ya umeme kwenye mitambo ya kusukuma maji mkoani Kigoma; https://youtu.be/dLQ7bVmeoh4

SIMU.TV: Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekabidhi magari matatu ya kubebea wagonjwa kwa wabunge watatu kusaidia majimbo yao; https://youtu.be/ovA7liuWJA0

SIMU.TV: Baraza la taifa la biashara limewahakikishia wafanyabiashara wa kigeni kuwa litawapatia huduma muhimu za kuishi nchini Tanzania; https://youtu.be/r5TmHf_hVIE

SIMU.TV: Wanahisa wa benki ya biashara Ecobank wamelazimika kuongeza mtaji wa shilingi bilioni 42.6 ili kuiwezesha benki kujiendesha; https://youtu.be/YOnqDzAjVEw

SIMU.TV: Ofisi ya wakala wa usajili wa biashara imesema kuwa kuna elimu ndogo kwa wananchi visiwani Zanzibar kuhusiana na urasimishaji wa biashara; https://youtu.be/i9R1V9mYcgA

SIMU.TV: Serikali nchini imesema mabadiliko ya mfumo katika uendeshaji wa masuala ya soka kwenye vilabu vya soka nchini Tanzania hayaepukiki; https://youtu.be/pWEn14hOVZc

SIMU.TV: Nahodha wa klabu ya soka ya Yanga Nadir Cannavaro amesema watapambana mpaka dakika ya mwisho ili kutetea ubingwa wao; https://youtu.be/aVhVU_S1CGg

SIMU.TV: Uwanja mkuu wa taifa ulioko mjini Dar Es salaam unatarajia kuanza kufanyiwa marekebisho kunzia mapema wiki ijayo; https://youtu.be/0WcsH38dEY8

SIMU.TV: Klabu ya soka ya Simba imesema tayari imeshafanya mawasiliano na FIFA kuhusiana na kuwasilisha malalamiko yao dhidi ya TFF; https://youtu.be/PN695Qsbnlw

SIMU.TV: Usiku wa Ulaya unarejea tena leo kwa kupigwa mchezo mmoja wa nusu fainali baina ya Juventus ambao watawakaribisha wapinzani wao kutoka Ufaransa Monaco; https://youtu.be/TEu3FLgg0bg

No comments: