Tuesday, May 16, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK,ALI MOHAMMED SHEIN AFANYA ZIARA YA KUWAFARIJI WAATHIRIKA WA UPEPO WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

 Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe. Jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni, Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mzee Suleiman Ali Makame muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Mwandishi wa Habari wa ITV na Redio One Farouk Karim akifanya mazungumzo na Mzee Suleiman Ali Makame muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Pangawe na Kijitoupele Shamsi Vuai Nahotha wakati alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipofanya ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments: