Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini
Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa
program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana
Jijini Dar es Salam.Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima
kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya
IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude
Rwakatale na Mrema aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wengine.Tuzo hizo zimetolewa
na Taasisi ya Mama’s and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center
(MPFCR). Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally
Ghahae na Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica Luhamba.
Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Scholastica Luhamba akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya
uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar
es Salam.Uzinduzi huo ulienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi
ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt.
Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale
na Agustine Lyatonga Mrema( kulia) aliyepokea tuzo zote kwa niaba ya wenzake
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and
Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae
akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za
Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Hafla hiyo
ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya
kijamii akiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed
Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale na Mrema aliyepokea
tuzo zote kwa niaba ya wengine.Tuzo hizo zimetolewa na taasisi hiyo. Kutoka
kulia ni Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine
Lyatonga Mrema na Mrakibu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Scholastica
Luhamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mama’s and
Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR) Bi. Emmi Ally Ghahae
akionyesha tuzo maalum kwa kutambua mchango wa Mhe. Agustine Lyatonga Mrema
(mwenye kofia) katika kuthamini jamii
wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za
Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Hafla hiyo
ilienda sambamba na utoaji wa tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya
kijamii wakiwemo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed
Dewji, Mustafa Sabodo, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea
tuzo zote kwa niaba ya wengine.
Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya Parole nchini
Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akipokea risala kutoka kwa mmoja wa wanufaika
wa Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center
(MPFCR) Sempeho Samweli Mtangi wakati wa
hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za
Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji
wa Taasisi hiyo Bi. Emmi Ally Ghahae. Hafla hiyo ilienda sambamba na utoaji wa
tuzo za heshima kwa baadhi ya wadau wa masuala ya kijamii wakiwemo Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi, Mohamed Dewji, Mustafa Sabodo,
Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatale ambapo Mrema alipokea tuzo zote kwa niaba ya
wengine.
Mwakilishi wa kundi la wasanii Bi. Rahmaty
Shariffu (Najma) akitoa nasaha kwa
wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyoko Kigamboni Jijini Dar es Salaam
wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na
dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.Program hiyo inaratibiwa na
Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR).
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo
Wilayani Kigamboni Jijini Dar es Salaam Kheri Rajab akitoa neno la shukrani kwa
Taasis ya Mama’ and Papa’s For Community Reform Rehabilitation Center (MPFCR)
wakati wa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na
dawa za Kulevya mashuleni jana Jijini Dar es Salam.
Paschal Gideon Mtenzi akitoa ushuhuda na nasihi
kwa wanafunzi walioshiriki hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji wa Klabu
za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni jana iliyofanyika katika Shule ya
Msingi Maweni iliyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam jana.Kushoto ni Ally
Baadeni Farahan, ambao wote kwa pamoja walikuwa waathirika wa dawa za kulevya
lakini kwa sasa wamejinasua kwa kupata huduma ya matibabu.
Kikundi cha sanaaa kutoka ofisi ya Kata ya Mji
Mwema, Kigamboni Jijini Dar es Salaam wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi
wa program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni
jana Jijini Dar es Salam.
Baadhi ya walimu wa Shule ya Msingi Maweni na
wakazi wa Kigamboni Jijini Dar es Salaam wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa
program ya uanzishaji wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni
iliyofanyika katika Shule ya Maweni jana.
Mwenyekiti wa Taifa
wa Bodi ya Parole nchini Tanzania Agustine Lyatonga Mrema akiwa katika picha ya
pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Maweni iliyopo Kigamboni Jijini Dar es
Salaam mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa program ya uanzishaji
wa Klabu za Kupambana na dawa za Kulevya mashuleni. Picha zote na Frank Shija
– MAELEZO
No comments:
Post a Comment