Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees
Groenendijk (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na
wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF.
Mfuko huo leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi
na kutoa semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia
taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Kees
Groenendijk (kushoto) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na
wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF.
Mfuko huo leo umekutana na baadhi ya wahariri na waandishi waandamizi
na kutoa semina juu ya mchango wa vyombo vya habari katika kusaidia
taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii
Mwanasheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili
Harold Sungusia (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na
wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF.
Wanatasnia hao wa habari wamepata fursa ya kujadiliana kwa pamoja na
LSF namna vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa haki kwa
ujumla kwa jamii.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo
mbalimbali vya habari wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa
Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) kwa na kuzungumzia mchango wa vyombo
vya habari katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari waandamizi kutoka vyombo
mbalimbali vya habari wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Mfuko wa
Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) kwa na kuzungumzia mchango wa vyombo
vya habari katika kusaidia taasisi zinazotoa msaada wa sheria kwa jamii
Mwanasheria kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili
Harold Sungusia (kulia) akiwasilisha mada kwa baadhi ya wahariri na
wanahabari waandamizi katika semina kwa wanahabari iliyoandaliwa na LSF.
Wanatasnia hao wa habari wamepata fursa ya kujadiliana kwa pamoja na
LSF namna vyombo vya habari vinavyoweza kusaidia upatikanaji wa haki kwa
ujumla kwa jamii.
Wakili Harold Sungusia akisisitiza jambo alipokuwa akiwasilisha mada
kwa baadhi ya wahariri na wanahabari waandamizi katika semina kwa
wanahabari iliyoandaliwa na LSF Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada anuai.
Ofisa Uhusiano wa Mfuko wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF), Robart
Zephania (mbele aliyesimama) akizungumza katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment