Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akiteta jambo na
mmoja wa wakazi wa Jiji la Tanga eneo la Neema mara baada ya kukutana
njiani wakati mbunge huyo alipokwenda kukagua kujionea athari
zilizotokana na mvua kubwa iliyonyesha kulia ni Diwani wa Kata ya
Mnyanjani (CUF) Thobias Haule
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisisitiza jambo
wakati alipotembelea eneo la Neema kujionea athari za uharibifu wa
barabara ya Tanga hadi Pangani kutokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi
na kusababisha barabara hiyo kutokupitika
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akiangalia
athari za miundombinu ya barabara ya Tanga hadi Pangani katika eneo la
Neema ambako alikwenda kuangalia namna ilivyoharibika kutokana na mvua
kubwa zinazoendelea kunyesha
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitazama
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea kujionea athari za barabara hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akisalimiana na wananchi wa Tangasisi
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akipata maelekezo
kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Bacc Technicla co.Ltd ya Mkoani Dodoma ,
Husein Bakeme kuhusu namna wanayofanya kuondoa adha hiyo
Creda
likiendelea kufanya kazi ya kurekebisha barabara ya Tanga -Pangani eneo
la Neema ambalo lilikuwa halipitiki kutokana na kuharibika vibaya na
kusababisha magari kushindwa kupita
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akitembelea eneo la Neema
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na
Diwani wa Kata ya Masiwani kushoto wakati walipotembelea eneo la Neema
kujionea athari za barabara kutokana na mvua zilizonyesha
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kulia akiwa na diwani wa
Kata ya Masiwani Said Alei wakati akitembelea eneo la Neema ambalo
limeathirika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha mkoani Tanga
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto akisalimiana na wananchi wa Jimbo lake
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akiteta jambo na wapiga
kura wake mara baada ya kutembelea eneo la Neema ambalo limeathirika kwa
miundombinu ya barabara kuharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha
jijini Tanga .Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
No comments:
Post a Comment