Monday, May 15, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 25, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 15, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
 Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
 Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Kessy katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
 Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.
 Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
 Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
 Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017
 Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt Susan Kolimba na Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani wakimskiliza Mbunge wa Makete(CCM) Mhe.Prof Adamson Sigalla kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.

Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments: