Monday, April 3, 2017

UKARABATI WA UWANJA WA BANDARI SEHEMU YA KUCHEZEA WAFIKIA ASILIMIA 80

Mmoja wa mafundi akiweka mabomba ya maji sawa hili aweze kumwagilia vizuri eneo la uwanja wa Bandari, Temeke, jijini Dar es salaam ambao umepandwa nyasi za kisasa kwa ajili ya mazoezi pamoja na kuchezea mashindano ya soka, yakiwemo ya Ndondo Cup
Mabomba ya kisasa yakimwagilia maji katika uwanja huo wa Bandari ambao unatarajiwa kuwa wa kisasa katika eneo lake la kuchezea kwa kufanana na uwanja wa TaifaBomba jingine lililopo upande wa mashariki ya uwanja likimwagilia maji.


 Jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja huo liliwekwa na balozi wa China Dkt. Lu Younqing
Sehemu ya upande wa goli ambayo imewekwa sawa na kupandwa nyasi za kisasa.

No comments: