Kitambi ni ile hali ya tumbo
kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati
mwingine kufikia hatua ya kunin’ginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO
PATIKANA.
Kwa mujibu wa
tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli
kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika
sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.
Kwa wanawake seli hizo
zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye
makalio.
Kwa upande wa wanaume seli
hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio pia.
Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi
hukusanywa kwa njia kuu mbili:
i.
Njia ya kwanza
ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi
ii.
Na njia
ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k
SABABU ZA KUPATA KITAMBI
Sababu kubwa ya kitambi ni kukosekana
ulingano wa nguvu(kalori) katika mwili wa mwanadamu,
hali inayo sababishwa na mtu kula vyakula
vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka mwili.
VYAKULA VINAVYO CHANGIA
KULETA KITAMBI
Vyakula vinavyochangia
kuleta kitambi ni pamoja na :
i.
Vyakula
vyenye mafuta mengi kama vile nyama nyekundu
(iwe ni ya kuchemsha, kukaanga au kuchoma), nyama ya
kuku wa kizungu ( iwe ya kuchemsha,
kukaanga ama kuchoma ), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na
bidhaa za wanyama, kama siagi, na jibini), viazi ya kukaanga kwa mafuta
(chips) pamoja na pizza.
ii.
Vyakula vyenye
wanga mwingi kama vile ugali wa mahindi, mihogo, wali, mkate
mweupe.
iii.
Vyakula
na vinywaji vyenye sukari nyingi iliyo
ongezwa
(
added sugar ), kama vile soda na keki.
iv.
Vyakula vilivyo
tengenezwa kwa ngano na sukari kama vile
keki, skonzi, chapatti, maandazi, mkate mweupe nakadhalika
v.
Pamoja na
vinywaji vilivyo tengenezwa kwa kutumia
ngano kama vile bia za aina
mbalimbali na kadhalika.
Vyakula vilivyo tajwa
hapo juu, vikitumiwa bila kuzingatia kanuni
za mlo kamili, huchangia kuleta tatizo la
kitambi.
vi.
Sababu nyingine ni
kutofanya mazoezi ya mwili na viungo
( physical exercises
) kwa muda mrefu.
JINSI YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI.
Kitambi kinaweza kuonekana kirahisi kwa
macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo
vya kiuno(waist) na nyonga (hips).
Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au
40 kwa wanaume na >88 cm au 35 kwa wanawake, na uwiano wa kiuno
na hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.
BMI ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese'
uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi kawaida ni kiashiria hatari cha
matatizo ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.
Kipimo kingine cha kitambi ambacho
kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri uwezekano mkubwa wa magonjwa
ya moyo ni Index Of Central Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano
ukiwa sawa na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya
kimo cha mtu.
Kipimo kingine ni Body Volume Index,
kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.
MAMBO YANAYO MUWEKA
MTU KATIKA HATARI YA KUPATWA NA KITAMBI
Tumekwisha ona hapo
juu jinsi kitambi kinavyo patikana na
vyakula pamoja na sababu nyinginezo zinazo
sababisha kutokea kwa kitambi, sasa tutazame
mambo yatakayo kufanya uwe katika hatari
ya kupatwa na kitambi.
Kwa mujibu wa
tafiti mbalimbali za kitaalamu, mambo yafuatayo
huwaweka watu katika hatari kubwa ya
kupatwa na kitambi :
1. Ulaji
mbovu wa chakula; Ulaji mbovu wa
chakula ni ulaji usio zingatia kanuni
za mlo kamili. Hapa mtu hufululiza kutumia
chakula cha aina fulani pekee bila
kuzingatia aina nyinginezo za chakula. Mfano;
mtu anaweza kuwa anakula mlo ufuatao :
Asubuhi :
Mchemsho ama supu ya ng’ombe ,
chapatti tatu na soda moja. Mchana :
Ugali nyama choma anashushia kwa
maji na soda.
Jioni : Mchemsho
wa kuku na bia mbili nakuendelea.
Usiku : Chips
mayai au chips kuku au chips
mishikaki na bia.
Mtu huyu akiendelea
na utaratibu huu kwa muda mrefu, ni
lazima atapatwa na kitambi.
2. Ulaji
mfululizo wa vyakula vyenye mafuta mengi
3. Ulaji
mfululizo wa vyakula vyenye wanga mwingi .
4. Ulaji
mfululizo wa vyakula vyenye sukari iliyo
ongezwa ( added sugar ).
5. Ulaji
mfululizo wa vyakula vya ngano.
6. Ulaji
mfululizo wa vinywaji vyenye ngano na
sukari.
7. Kutofanya
mazoezi ya mwili na viungo ( physical
exercises ).
Mhusika anapokuwa
katika makundi yote yali yotajwa hapo juu,
hali huwa mbaya zaidi.
NJIA ZA KUONDOA KITAMBI
Kuwa na kitambi
ni lugha ya mwili ( body-language ) inayo
leta ujumbe kwako kwamba “ Mwili
wako haupo salama tena “
Kama una
kitambi maana yake una mafuta yasiyo
hitajika mwilini, mwili wako unatumika kuhifadhi
mafuta usiyo yahitaji.
Hali hii kitabibu
imaanisha kwamba, ogani nyinginezo zilizomo ndani
ya mwili wako zinao gelea kwenye mafuta(
fats ) yasihotika yaliyomo ndani ya mwili
wako, jambo linalo kuweka katika hatari
kubwa sana ya kushambuliwa na magonjwa
hatari kama vile shinikizo kubwa la damu,
kiharusi na kisukari na kwa kutaja machache.
Hivyo basi ili
kuondokana na hatari hiyo, yakupasa
kupambana kuondoa hayo mafuta yasiyo
hitajika mwilini mwako.
NJIA ZA KUONDOA
KITAMBI.
Unaweza kuondokana na
kitambi kwa kufanya diet pamoja na mazoezi
ya mwili na viungo.
Vilevile unaweza
kuondoa kitambi na kupunguza mafuta mwilini
kwa kutumia dawa asilia ya kuondoa
kitambi na kuondoa mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
DAWA ASILIA YA
KUONDOA KIAMBI NA MAFUTA MWILINI.
Hii ni njia ya
uhakika kabisa ya kuondoa tatizo la
kitambi pamoja na mafuta yasiyo hitajika
mwilini.
Unaweza kuondoa
tatizo la kitambi pamoja na kupunguza
mafuta mwilini kwa kutumia DAWA ASILIA
IITWAYO YA MKATAA KITAMBI.
Dawa hii
ni ya asili kabisa
“ Pure Herbal “,
ambayo haijachanganywa na kemikali yoyote, haina
side effect kwa mtumiaji na inaondoa kabisa
tatizo la kitambi ndani ya siku kumi
na nne.
JINSI DAWA YA
MKATAA KITAMBI INAVYO FANYA KAZI.
1. Huyeyusha
mafuta yasiyo hitajika mwilini.
2. Husaidia
kupunguza hamu ya chakula.
3. Inazuia kutengenezwa
kwa seli za mafuta ( fat cells ) katika
mwili wa mwanadamu. Unapokula chakula chenye
mafuta mengi, dawa hii asilia hupambana kuyafanya
mafuta hayo yasitengeneze seli za mafuta
mwilini mwako. Hali hii huuepusha mwili wako
kuhifadhi mafuta yasiyo hitajika mwilini.
4. Husaidia
kupunguza uzito wa mwili kwa haraka sana
endapo itatumika pamoja na diet ya kabechi.
UFANISI WA DAWA.
Ufanisi wa dawa
hii ni wa asilimia mia moja. Dozi ya
dawa hii hutumika kwa muda wa siki
ishirini na moja.
MATOKEO YA DAWA:
Dawa hii huondoa
kabisa kitambi ndani ya siku kumi na
nne.
BEI YA DAWA :
Dawa hii inaoatikana
kwa kiasi cha SHILINGI ELFU HAMSINI
TU (Tshs. 50,000/=)
MAHALI TUNAPO PATIKANA.
Tunapatikana UBUNGO
jijini DAR ES SALAAM, jirani na SHULE
YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya
jengo la UBUNGO PLAZA.
KWA WATEJA WASIO
WEZA KUFIKA OFISINI KWETU.
Kwa wateja wasio
weza kufika ofisini kwetu , tunao utaratibu
wa kuwafikishia dawa mahali popote walipo
ndani ya jiji la Dar Es salaam.
KWA WATEJA WA
NJE YA DAR ES SALAAM.
Kwa wateja waliopo
nje ya Dar Es salaam, tunawatumia dawa
kwa njia ya MABASI.
Kwa wateja wa
ZANZIBAR tunawatumia dawa kwa njia ya boti.
KWA WATEJA WA
NJE YA NCHI:
Kwa wateja wa
nje ya nchi, tunatumia dawa kwa njia
ya POSTA au DHL.
WASILIANA NASI KWA
SIMU NAMBA : 0766 53 83 84
TUTEMBELEE:
No comments:
Post a Comment