Thursday, March 23, 2017

WIKI YA UTAMADUNI YA CHINA YAZINDULIWA QUALITY CENTRE

 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fissoo akitoa Maelezo kutoka kwa Waandishi wa habari kutoka nchini China.
Wageni wakisaini kitabu kabla ya kuingia katika ukumbi wa Quality Centre
 Meneja Mawasiliano wa kampuni ya Star Times Tanzania ,Juma Sharobaro akitoa maelezo kwa Waandishi wa Habari
 Aliyekuwa Waziri wa habari Sanaa utamaduni na Michezo Nape Nnauye akizungumza wakati wa ufunguzi wa wiki ya Filamu ya Jamhuri ya watu wa China.
 Watu mbalimbali wakifatilia Sinema katika kumbi wa Quality Centre wakati wa uzinduzi wa wiki ya utamaduni wa china
 Baadhi ya wasanii wa filamu hapa nchini wakifatilia tukio hilo
Katibu mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China(CPC),Mh Guo Jinlong

No comments: