Tuesday, March 28, 2017

Waziri wa Katiba na Sheria mpya Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi awasili ofisini kwake dodoma

 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma.  
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiangalia kadi ya Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na Jaji mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha Kwariko alipowasili Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisikiliza maelezo mbalimbali alipokutana na watendaji wa Wizara na Mahakama katika ukumbi wa mikutano Wizarani mjini Dodoma
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wagenu baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiongea na watumishi waandamizi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma. Picha zote na Sheiba Bulu

No comments: