Tuesday, March 14, 2017

WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA KUNUFAIKA NA MPANGO WA SERIKALI KUHAMIA DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan , amewataka viongozi wa mkoa wa Dodoma wahakikishe wanatenga haraka maeneo maaluma kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo ili nao waweza kunufaika na mpango wa Serikali kuhamia mkoani Dodoma  

No comments: