Mtaalamu
wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa) Ramadhani Nyambuka akisistiza jambo kwa waandishi wa
habari kuhusu huduma kwa mteja wakati wa semina ya waandishi wa habari
kuelekea kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji Machi 22 mwaka huu
Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akizungumza jambo wakati wa kikao
hicho leo
Afisa
Ankra wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga( Tanga
Uwasa) Ruluani Luambo akisistiza jambo wakati wa semina hiyo
Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo akifuatilia matukio mbalimbali
kwenye semina hiyoMwandishi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) Joachim Kapembe akiuliza swali kwenye semina hiyo kulia ni Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Dorra Killo
Waandishi wa Habari Jijini Tanga wakifuatilia matukio mbali mbali
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa) Mhandisi Joshua Mgeyekwa akizungumza na waandishi wa
habari jana kuhusu wiki ya kuadhimisha wiki ya maji iliyoanza Machi 16
hadi Machi 22 mwaka huu kulia kwake ni Meneja Rasilimali watu na Utawala
wa Mamlaka hiyo,Haika Ndalama
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment