Thursday, March 30, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI


SIMU.TV: Mamlaka ya maji safi Mkoani Kigoma, imerudisha huduma za maji kwa wananchi baada ya Tanesco kurudisha umeme kwenye mitambo ya kusukuma maji; https://youtu.be/IyJzYZdWX8Y

SIMU.TV: Nchi za Tanzania, Rwanda na Burundi zinatarajia kufaidika na mradi wa umeme kutoka kwenye maporomoko ya mto Rusumo; https://youtu.be/mWRr2x0UCYM

SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali haitowavumilia wakandarasi wazembe na wale watakaoshindwa kukamilisha kazi kwa wakati; https://youtu.be/idz4HwLdb7o

SIMU.TV: Waziri mkuu wa Ethiopia anatarajia kuwasili nchini Tanzania hapo kesho kwa ajili ya ziara ya siku mbili kufuatia mualiko wa Rais Magufuli; https://youtu.be/d1r8Cl4T2I0

SIMU.TV: Wagonjwa 20 wamefanyiwa upasuaji wa Moyo kwa mafanikio katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dar Es salaam; https://youtu.be/Wesfub5KkAY

SIMU.TV: Mahakama kuu kanda ya Dar Es salaam imetengua hukumu ya kufungwa jela miezi 6 kwa mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali; https://youtu.be/s_jZmWlYjoc  

SIMU.TV: Tazama jinsi mwanafunzi huyu wa Sekondari ya Ilboru alivyofanikiwa kutengeneza Roboti kwa kutumia malighafi yasiyo rasmi; https://youtu.be/RHoawrLAJQ0

SIMU.TV: Wakala wa kuagiza mafuta kwa pamoja ameanza mchakato wa kuruhusu kampuni za nje kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuagiza mafuta; https://youtu.be/cay9nE-tHHo

SIMU.TV: Wadau kutoka kwenye sekta Binafsi na Umma wametakiwa kuchangamkia Fursa ya kushiriki kwenye kongamano la kibiashara lililoandaliwa na balozi wa Ufaransa; https://youtu.be/dIznImUkpMI

SIMU.TV: Timu ya Taifa ya vijana Serengeti Boys leo imeibuka na ushindi wa mabao  3-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya vijana ya Burundi; https://youtu.be/NPh6-xQIylQ

SIMU.TV: Fahamu hapa matokeo na safu mpya ya Uongozi wa mchezo wa Mashua uliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo; https://youtu.be/TuZoWGb8YoA

SIMU.TV: Shirikisho la mpira nchini limetangaza ratiba ya michezo ya Robo Fainali ya kombe la shirikisho, Fahamu hapa ratiba kamili ya michezo hiyo; https://youtu.be/n2mQumgw2vA

SIMU.TV: Mashabiki wengi wa kandanda Duniani wameshangazwa na sanamu la mchezaji Cristiano Ronaldo kutokana na sanamu hilo kutofanana na mchezaji huyo; https://youtu.be/cUTyBk2KWzs

No comments: