SIMU.TV: Baadhi ya wafugaji mkoani Kagera wameiomba serikali kuwatafutia maeneo tengefu kwa ajili ya kulisha mifugo yao; https://youtu.be/6So68bPy3l0
SIMU.TV: Wananchi, serikali na wadau mbalimbali mkoani Arusha wamefikia makubaliano juu ya matumizi sahihi ya pori tengefu la Loliondo; https://youtu.be/Ogrp-Qc6sFQ
SIMU.TV: Serikali imetenga fedha shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya kukamilisha zoezi la Ufungaji vifaa katika Hospitali ya Mloganzila; https://youtu.be/glpDtTNpps4
SIMU.TV: Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Magufuli, amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe wa chama cha Kikomunisti nchini China; https://youtu.be/mACORezq6DI
SIMU.TV: Waziri wa Habari Nape Nnauye, amepokea ripoti ya kamati aliyounda kuchunguza sakata la mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda kuvamia Clouds TV; https://youtu.be/PNz4LAddaMs
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika samaki nchini Mauritius na kuwaalika wamiliki wa kiwanda hicho kuja nchini; https://youtu.be/aYkf4O3jwMk
SIMU.TV: Mamlaka ya mapato nchini TRA imewakata wamiliki wa majengo ya biashara kulipa kodi kwa wakati ili kuchochea maendeleo; https://youtu.be/Jp5_yynWaQY
SIMU.TV: Shirika lisilo la kiserikali la Heifer linajihusisha na harakati za kuondoa umasiki nchini limewataka wakulima kujiunga na mtandao wa Ninayo.com ili kuuza mazao yao; https://youtu.be/mWDwBJ2t4wQ
SIMU.TV: Mfanyabiashara wa mbao katika eneo la Buguruni Adolph Aidan amejikuta akishindwa kuongea baada ya kujishindia gari aina ya Toyota Hilux na bahati nasibu ya NBC; https://youtu.be/JL8mlpR-3AQ
SIMU.TV: Nahodha wa timu ya Taifa Mbwana Samatta ameanza rasmi mazoezi kwa siku ya leo na kuahidi ushindi katika mchezo wao siku ya Jumamosi; https://youtu.be/MJP34xi3FwI
SIMU.TV: Tanzania inakusudia kupeleka Filamu zake nchini China ili kuzitafutia soko filamu hizo kwa wadau wa Filamu nchini China; https://youtu.be/wO90rJJhv6w
SIMU.TV: Mamlaka ya maji safi mkoani Mtwara imekabidhi hundi ya shilingi Millioni 3 kwa mkuu wa mkoa huo Halima Dendego ili kusaidia klabu ya Ndanda Fc; https://youtu.be/W7j0K330p8g
SIMU.TV: Karibu kufurahia habari mbalimbali za michezo Kimataifa tulizobahatika kuzikusanya katika siku ya leo; https://youtu.be/GvLH4ghaOWw
No comments:
Post a Comment