SIMU.TV: Chuo kikuu cha Afya cha Muhimbili MUHAS, kinahitaji fedha zaidi ya shilingi Bilioni 14 kukamilisha ufungaji vifaa katika Hospitali ya Mloganzila; https://youtu.be/IFOAPnqQWX8
SIMU.TV: Serikali imesema inaendelea kuwakamata watu wanaojihusisha na mapenzi ya Jinsia moja kimya kimya ili kutokomeza kabisa tabia hiyo nchini; https://youtu.be/qep0f4RXqe8
SIMU.TV: Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuisaidia serikali kuwafundisha tabia njema wafungwa; https://youtu.be/Y7kd_qEVrvs
SIMU.TV: Muwekezaji wa shamba lililokuwa na mgogoro katika kijiji cha Shaurimoyo wilayani Babati mkoani Manyara ameamua kurejesha shamba hilo kwa serikali; https://youtu.be/13KTwQNO7_8
SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha Sukari nchini Mauritius na kujionea uzalishaji wa sukari katika kiwanda hicho; https://youtu.be/RO7bjWDjPfE
SIMU.TV: Rais wa benki ya Dunia Dr Jim Yong Kim ameondoka leo baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania ; https://youtu.be/F1Jk8WsZ2z8
SIMU.TV: Baadhi ya shule za Sekondari mkoani Kigoma hazifundishi masomo ya sayansi kwa vidato vya 1& 3 kutokana na upungufu wa walimu wa sayansi; https://youtu.be/VrZcP7I0V_k
SIMU.TV: Mfuko wa maendeleo wa Kuwait umeipatia serikali ya Tanzania mkopo wa shilingi Bilioni 109.96 kwa ajili ya ujenzi wa barabara mkoani Tabora; https://youtu.be/uI0sZY6QsMU
Baadhi ya wanafunzi mkoani Kilimanjaro wamewaomba watanzania kulipa kodi ili kuweza kuchochea maendeleo nchini; https://youtu.be/lXc5YOs79bw
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawiro, ameishauri benki kuu ya Tanzania kuongeza uelewa wa fedha halali kwa watanzania hususani walemavu; https://youtu.be/aiHHDM_cM3s
SIMU.TV: Klabu ya soka ya Yanga imepangwa kucheza na klabu ya MC Alger ya nchini Algeria katika kombe la shirikisho barani Afrika; https://youtu.be/BRNsdm60Flo
SIMU.TV: Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars, wamepimwa utimamu wa mwili kabla ya kuingia kambini kujiwinda na mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana; https://youtu.be/nOxdtJhrymk
SIMU.TV: Serikali ya Tanzania inakusudia kuanzisha sera ya maadili ili kuweza kupunguza ongezeko la mmonyonyoko wa maadili nchini; https://youtu.be/25qZRj-q-kg
SIMU.TV: Furahia habari mbalimbali za michezo Kimataifa ambazo tumebahatika kukukusanyia kwa siku ya leo; https://youtu.be/ttqTN6BA6qI
No comments:
Post a Comment