Friday, March 24, 2017

NAIBU MEYA WA MANISPAA YA ILALA, OMARY KUMBILAMOTO ATEMBELEA OFISI ZA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG)

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akisalimiana na Msimamizi wa Chumba cha Habari, Cathbert  Kajuna wakati alipotembelea ofsi za MMG leo.
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto, akisalimina na mwandishi mwandamizi na Msimamizi wa Habari za Mahakamani, Karama Kenyunko wakati alipofanya ziara katika ofisi za MMG.
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akiwa ndani ya ofisi ya MMG.
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akifurahi jambo na Mwandishi Mwandamizi wa Michuzi Blog,  Chalila Kibuda
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto, Akisalimiana na Mkurugenzi wa Michuzi TV, Karim Michuzi wakati alipofanya ziara ya kutembelea chumba cha habari cha Michuzi Media Group ili kujionea jinsi wanavyofanya kazi.

No comments: