Wednesday, March 8, 2017

VODACOM YASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KISHINDO NA AKINAMAMA WA MKOA WA DODOMA

 Katibu wa Voice of Women Entrepreneurs Tanzania (VOWET) Anna Otieno akitoa elimu ya ujasiliamali kwa akinamama wajasiliamali Mkoa wa Dodoma leo ,mafunzo hayo yalidhaminiwa na  Vodacom Tanzania ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

 Baadhi ya Akinamama wajasiliamali  wakishiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo wa  ujasiliamali yaliyotolewa na wataalam mbalimbali na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania leo mjini Dodoma ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani.

 Mkuu wa maduka ya rejareja  wa Vodacom Tanzania,Brigita Stephen (kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu mjasiliamali Neema Nzuki aliyejiajiri na  kuwaingiza  wateja wapya wa Vodacom Tanzania wa manispaa ya Dodoma,Wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa  ujasiliamali mkoani hum oleo yaliyoandaliwa na Vodacom Tanzania.
 Akina mama wajasiliamali wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye picha ya pamoja baad ya kushiriki mafunzo ya siku moja yaliyotolewa na Vodacom Tanzania leo  katika maadhimisho ya siku ya wananawake Duniani.
 Mkuu wa maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akikata keki na Katibu wa Voice of Women Entrepreneurs Tanzania (VOWET) Anna Otieno ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Wananawake Duniani leo mjini Dodoma.
 Mkuu wa maduka ya rejareja ya mauzo ya simu Vodacom Tanzania,Brigita Stephen  akizungumza na akina mama wajasiliamali wa mkoa wa Dodoma leo,Wakati wa mafunzo ya ujasiliamali kwa akina mama hao katika kuadhimisha siku ya wanawake Duniani.
Mwezeshaji wa masomo ya ujasiliamali Ben Mwambela akitoa mada ya ujasiliamali kwa akinamama wa mkoa wa Dodoma  leo katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani,mafunzo hayo yalifadhiliwa na Vodacom Tanzania.

No comments: