Sunday, March 5, 2017

UZINDUZI WA FILAMU YA RAY YA GATE KEEPER WAFANA

 Msanii na mtayarishaji wa Filamu ya Gate Keeper, Vicent Kigosi 'Ray' akizungumza na Waandishi wa habari kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa filamu yake ya GateKeeper
 Mkurugenzi Mwenza wa Kampuni ya Rj Company Blandina Chagula 'Johari ' akiwa na baadhi ya Mashabiki wa Bongo Movie
 Msanii wa filamu nchini Vicent Kigosi 'Ray' akiwa na Mwandishi na mtunzi wa filamu ya Gate Keeper Ally Yakuti kabla ya kuanza kuonyeshw akwa fimau hiyo katika ukumbi wa Quality Centre
 Wasanii walioshiriki katika filamu ya Gatekeeper wakiwa katika picha ya pamoja ya zuria jekundu kabla ya kuingia katika ukumbi wa cinema
 Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fissoo akizungumza na wadau wa filamu waliofika kushuhudia uzinduzi wa filamu ya Gatekeeper
 Msanii wa filamu na mtayarishaji wa filamu ya Gatekeeper Vicent Kigosi akizungumza na mashabaiki na wadau wa filamu waliofika katika uzinduzi wa filamu hiyo katika ukumbi wa Quality Centre
 Baadhi ya Wasanii waliofika katika uzinduzi wa Filamu hiyo wakiwa na Gambo Zigamba ndani ya ukumbi wa Quality Centre
Wadau wa filamu wakifatilia uzinduzi wa filamu hiyo kwa umakini ikiwa inaendelea

No comments: