Saturday, February 18, 2017

SIMBA HAOOOOO ZANZIBAR, WAENDA KUCHUKUA MAKALI YA KUIA YANGA FEB 25

Wachezaji wa Simba wakiingia eneo la bandari kwenda kupanda boti ikiwa ni safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
 Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi Laudit Mavugo akiwa anaongoza kuelekea eneo la kusubiria boti wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
 

 Wachezaji wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.


 Wachezaji wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
 Kocha wa Simba Joseph Omog akiongea na shabiki wa timu hiyo leo Jijini Dar es salaam wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
Mchezaji wa kimataifa kutoka Demokrasia ya Jamhuri wa Kongo, Janvie Basela Bukungu akisalimiana na shabiki wa timu hiyo wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.
 Beki wa Kushoto wa Simba Mohamed Tshabala akiwa amekaa chini akiongea na simu wakiwa tayari kwa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.Picha Zote na Humphrey Shao.

No comments: