Sunday, February 12, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AMWAPISHA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI, KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA PAMOJA NA MABALOZI WATATU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers William Sianga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Joseph Sokoine kuwa Balozi mpya nchini Ubelgiji, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi mpya nchini Algeria, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Grace Mgovano kuwa Balozi nchini Uganda, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
AHADI YA UADILIFU. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala wakwanza kulia akiwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers William, Balozi Joseph Sokoine, Balozi Omar Yusuph Mzee pamoja na Balozi Grace Mgovano wakila kiapo cha Ahadi ya Udilifu kwa viongozi mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya, pamoja na Mabalozi watatu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kuwaapisha Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za kulevya, pamoja na Mabalozi watatu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments: