Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya akielezea umuhimu wa Mto Nile wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Mkurugenzi Mtendaji wa Nile Basin Initiative Mhandisi Innocent Ntabana akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote” Kutoka Kulia ni Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwele na Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya
Balozi Maalum wa Masuala ya Mto Bonde la Mto Nile kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Rolf Welberts akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza kabla ya kuanza maandamano ya amani wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalianzia katika Viwanja vya Mnazi Mmoja na kuelekea hadi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere.
Waziri wa Maji wa Uganda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi zinzaozunguka Bonde la Mto Nile Bw. Sam Cheptoris akiwatambulisha Mawaziri wa Maji kutoka nchi wanachama wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Maandamano yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Maandamano yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Maandamano yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Maandamano yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipokea maandamano mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Waandamanaji wakipita mbele ya Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu(hayupo pichani) huku wakipunga mkono walipokuwa wakiwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipeana mkono na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge mara baada ya kupokea maandamano baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimwagilia maji mti alioupanda ikiwa ni kumbukumbu ya sherehe za Siku ya Nile mara baada ya kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji wa Burundi akipanda mti kama kumbukumbu ya ya sherehe za Siku ya Nile iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akisoma ujumbe kutoka katika mabongo yaliyobebwa na wanafunzi wa Shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipata maelezo kuhusu Miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Program ya Nile Basin Initiative alipotembelea mabanda ya taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mawaziri wa Maji kutoka nchi washirika wa Bonde la Mto Nile, pamoja na baadhi ya Viongozi kutoka Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani ya Jijini Dar es Salaam wakiimba ngojera mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu wakati wa sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akionyesha tuzo aliyokabidhiwa wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimkabidhi tuzo Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda, Misri na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri kutoka nchi Washirika wa Jumuiya ya Watumia Maji ya Mto Nile, wakati wa sherehe za Siku ya Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Misri na mwenyeji Tanzania. Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment