Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo
cha aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT, Tawi la Shirikisho la Wanafunzi vyuo
vya Elimu ya Juu-CCM, Anastazia Malamsha, wakati wa mazishi ya kiongozi
huyo, yaliyofanyika leo katika eneo la Shimbo, Rombo Mkuu mkoani
Kilimanjaro. Anastazia alifariki dunia Jumapili, Feb 5, 2017, katika
ajali ya gari wakati akitoka kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 40
ya CCM mkoani huo ambapo pamoja naye viongozi wengiewatatu walifariki
pia katika ajali hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoaheshima za mwisho kwa mwili wa Anastazia, kabla ya mazishi hayo
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Iddi Juma akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Anastazia wakati wa mazishi hayo.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Shaka Hamdu Shaka akitoa heshima
za mwisho kwa mwili wa marehemu Anastazia kabla ya mazishi hayo
Katibu
Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu
Daniel Zenda akitoa heshima za mwisho wa mwili wa marehemu Anastazia
wakati wa mazishi hayo
Muombolezaji akisadiwa wakati akilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya marehemu Anastazia
Bangolilialondikwa kuomboleza kifo cha anastazia, nyumbani kwao
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Mjumbe wa NEC, Cyril Chami
Katibu
Mkuu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro
Said Mecky Sadick Mkuu huyo wa mkoa alipowasili kwenye mazishi hayo
Kinana na baadhi ya viongozi wa Chama na serikali wakiwa kwenye mazishi hayo. Kulia ni Said Mecky Sadick
Waombolezaji
wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Anastazia ulipokuwa
ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo
Waombolezaji
wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Anastazia ulipokuwa
ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo
Vijana
wa Umoja wa Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu
Anastazia kulipeleka kwenye eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo
Vijana hao wa UVCCM wakiwa wamelibeba kikakamavu jeneza lenye mwili wa marehemu Anastazia
Huyu ndiye marehemu Anastazia wakati wa uhai ake
Waombolezaji wakiwa msibani wakati wa mazishi hayo
Baba na Mama wa marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa mazishi hayo
Baba
na Mama wa marehemu Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha
wakiwa na nyuso za huzuni mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
wakati wa mazishi hayo
Baadhi
ya wanakwaya ambao ni Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi,
wakiimba nyimbo za maombolezo wakati wa mazishi hayo. Anastazia alikuwa
mwanafunzi wa Mwaka wa tatu katika chuo hicho Kikuu cha Ushirika Moshi.
Waombolezaji wakiwa kwenye mazishi hayo
Baadhi
ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, wakiwa kwenye mazishi
hayo. Anastazia alikuwa mwanafunzi wa Mwaka wa tatu katika chuo hicho
Kikuu cha Ushirika Moshi.
Wana CCM wakiwa kwenye mazishi hayo
Wana CCM na wananchi wakiwa kwenye mazishi hayo
Waombolezaji
Badhi ya madereva waliowafikisha viongozi kwenye mazishi hayo
Mshauri wa Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Dk.Gervas Machim, akitoa maneno ya rambirambi kwenye mazishi hayo
Naibu
Mkuu wa Kitivo cha Ushirika na Maendeleo ya Jamii katika Chuo Kikuu cha
Ushirika Moshi, Dk. Cyril Komba akitoa maneno ya rambirambi kwenye
mazishi hayo
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, William Mbogo akitoa maneno ya rambirambi kwenye mazishi hayo
Rais
wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, William Mbogo
akikabidhi fedha za mchango wa rambirambi kwa Baba na mama wa Marehemu
Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha, kwenye mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadik na viongozi wengine wa CCM kwenye mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake
binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa
mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake
binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa
mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa salama za rambirambi za kwake
binafsi, CCM na Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa
mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapa pole baba na mama wa marehemu
Anastazia baada ya kutoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa pole baba wa marehemu Anastazia
baada ya kutoa salama za rambirambi za kwake binafsi, CCM na Mwenyekiti
wa CCM Rais Dk John Magufuli wakati wa mazishi hayo
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi fedha za mchango wa
rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake, kwa Baba na mama wa Marehemu
Anastazia, Innocent Malamsha na Devota Malamsha, baada ya kutoa salam za
rambirambi kwenye mazishi hayo
Katibu Mkuu wa CCM, Adrahman Kinana akimshukuru mmoja wa padri aliongoza misa ya kumuombea marehemu Anastazia wakati wa mazishi hayo |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro said Mecky Sadick akitoa heshima za msiho kwa mwili a marehemu Anastazia
Abubakary Assenga akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Anastazia
Abubakary Assenga akimpa pole mama wa marehemu Anastazia
Waombolezaji wakati wakiaga mwili kwa mara ya pili wakati wa mazishi hayo
Baba wamarehemu Anastazia akiweka udogo kaburini wakati wa maziko
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka akiweka udogo kaburini wakati wa maziko
Kaimu Katibu Mtendaji wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya juu CCM, Daniel Zenda akiweka udongo kaburini wakati wa maziko
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini wakati wa maziko
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akiweka udongo kaburini
Mwenyekiti wa CCMmkoa wa Kilimanjaro akiweka udongokaburini
Mwombolezaji ambaye ni mwanafamilia ya marehemu Anastazia akisaidiwa wakati akiweka udogo kaburini.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la
Anastazia, mwishoni mwa maziko.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment