Sunday, January 22, 2017

ZIARA YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA WILAYANI WANGING'OMBE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu Mwenyeiti wa CCM (Bara) Philip Mangula baada ya kuwasili kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe kufungua jengo hilo Januri 21, 2017. Mangula ni mkazi wa eneo hilo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na wafanyakazi wa Kiwanda cha Chai cha Kibena wilayani Njombe baada ya kukitembelea Januari 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua jengo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe katika eneo la Igwachanya Januari 17, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe baada ya kuweka jiwe la msingi la jengo hilo katika eneo la Igwachanya , Januari 17, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha chai cha Kibena wilayani Njombe Januari 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kasisim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa eneo la Igwachanya wilayani Wanging’ombe baada ya kuweka jiwe la msingi la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo Januari 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Ilembula wilayani Wanging’ombe Januari 21, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya wasanii wa eneo la Wikichi wilayani Njombe wakati alipowasili kwenye eneo la Mradi wa Ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa ya Mkoa huo, Januari 21, 2017.Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher `Ole Sendeka.

No comments: